Programu ya Nchi Mwenyeji

World Environment Day host country Colombia put together a wide-ranging series of events featuring experts on biodiversity issues from across the globe.

Videos highlighting the biodiversity and environmental achievements of different regions of Colombia were featured throughout the day, including images and drone footage of strategic ecosystems.

Join the online conversation on all social media platforms using the hashtag #ForNature.

Full Programme

 

Kufungua kikao cha watu wote

Kitajumuisha: Rais waTaifa la Kolombia, Iván Duque Márquez; Waziri wa Kolombia wa Mazingira na Maendeleo Endelevu, Ricardo Lozano; Katibu Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Inger Andersen; Rais wa Benki ya Maendeleo ya Inter-American Luis, Alberto Moreno; Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jukwaa la Uchumi Duniani Klaus Schwab; Rais na CEO wa Taasisi ya Rasilimali Duniani, Andrew Steer; na wageni wengine wakuu walioalikwa pamoja na ujumbe kutoka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres. 

Amazon, nguvu ya sayari yetu

Jopo la majadiliano litakaloshirikisha Elizabeth Mrema (Katibu Mtendaji wa Mkataba wa Bayoanuai ya Kibayolojia (CBD)), Luz Marina Mantilla (Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya SINCHI), Daniela Raik (Naibu Mkuu wa Rais wa Americas – Conservation International ), Juan Pablo Bonilla (Meneja wa Sekta ya Mabadiliko ya Tabianchi wa Benki ya Maendeleo ya Inter-American), Santiago Gowland (Naibu wa Rais Mtendaji wa Amerika la Latini,TNC ) na Hernando Garcia (Mkurugenzi Mkuu wa Taassisi ya Humboldt)

Msimamizi: Ana María Hernández (Intergovernmental Science-Policy Platform on Biodiversity and Ecosystem Services - IPBES)

Mwandaaji: Taasisi ya Amazon ya Utafiti wa Kisayansi Nchini Kolombia - SINCHI na Taasisi ya Kolombia ya Alexander von Humboldt Institute for Biological Resources Research

Bayoanuai - uhusiano wa karibu kati ya miji na mazingira

Jopo la majadiliano litashirikisha Adriana Lobo (Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Rasilimali Duniani, México), Simon Stiell (Waziri wa Ustahimilifu wa Hali ya Hewa, Mazingira, Misitu, Uvuvi, Ukabilianaji wa Majanga na Mawasiliano wa Grenada), Tatiana Gallego (Benki ya Maendeleo ya Inter-American), Elkin Velásquez (Mkurugenzi wa Eneo la Amerika ya Latini na Karibean wa UN-Habitat) na Manuel Felipe Olivera (Mkurugenzi wa Eneo la Amerika ya Latini wa C40 Cities Climate Leadership Group).

Msimamizi: Jaime Pumarejo Heins, Meya wa Barranquilla

Mwandaaji: Barranquilla City Hall

Ubora wa hewa na afya

Jopo la majadiliano litajumuisha: Gina Tambini (Mwakilishi wa Shirika la Afya la Pan American nchini Kolombia), Fabiola Muñoz (Waziri wa Mazingira wa Peru), Martin Jaggi (Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Andean Regional Hub of the Swiss Agency for Development and Cooperation), Helena Molin (Mkuu wa Climate and Clean Air Coalition Secretariat) na Sergio Sanchez (Mkurugenzi Mkuu wa Sera wa Global Clean Air Initiative - Environmental Defense Fund).

Msimamizi: Daniel Quintero, Meya wa Medellin

Mwandalizi: Medellín City Hall

Uchumi ulio na bidhaa zinazoweza kutumiwa zaidi ya mara moja

Jopo la Majadiliano litajumuisha: Daniel Calleja (Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Mazingira ya Kamisheni ya Ulaya), Bruce McMaster (Rais wa Muungano wa Kitaifa wa Biashara nchini Kolombia- ANDI), Mari Pantsar (Mkurugenzi, Carbon-Neutral Circular Economy - Mfuko wa Uvumbuzi wa Ufini - Sitra), Mathy Stanislaus (Kaimu Mkurugenzi wa Global Battery Alliance), Jocelyn Blériot (Kinara wa Wakfu wa Ellen MacArthur), Dominic Kailash Nath Waughray (Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la Uchumi Duniani) na Elisa Tonda (Mkuu wa Kitengo cha UNEP cha Uzalishaji na Utumiaji wa Bidhaa).

Msimamizi: Bart van Hoof (Profesa wa Chuo Kikuu cha Andes – Mtaalamu wa uchumi ulio na bidhaa zinazoweza kutumiwa zaidi ya mara moja)

Mwandalizi: Chuo Kikuu cha Andes na Jukwaa la Uchumi Duniani

Kikao cha Kufunga

Waziri wa Mazingira na Maendeleo Endelevu wa Kolombia, Ricardo Lozano; Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP, Inger Andersen na Balozi wa Ujerumani nchini Kolombia, Peter Ptassek watatoa hotuba za kuitimisha kikao.

Ratiba iliandaliwa na serikali ya Kolombia.