Pitia programu rasmi ya shughuli za 2021 zitakazosimamiwa ma UNEP na Wabia wa Muongo wa Uboreshaji inayojumuisha wahutubiaji wa ngazi ya juu, majukwaa ya wataalamu na shughuli nyinginezo kote ulimwenguni.

Programu inapoendelea kupanuka, angalia, bukumaki au ongeza shughuli zinazokuvutia kwenye kalenda yako.