16 June 2020 Hatua za Kutunza Mazingira Siku ya Mazingira Duniani

Kuanzia nchi zinazoweka sera hadi kwa wahamasishaji wa #TutunzeMazingira, hatua kubwa zilipigwa mwaka wa 2020 zilizoonyesha huduma kuu tunazonufaika nazo kutoka kwa bayoanuai wakati wa Siku ya Mazingira Duniani.

Rasilimali zaidi: World Environment Day: a look back  

Recent Stories
COVID-19 ni mfano mmoja tu wa hali ya ongezeko la magonjwa – kuanzia kwa Ebola hadi kwa MERS, homa ya West Nile na homa ya Bonde la Ufa –…

Mganda, aliyekuwa mwalimu wa bayolojia na mkiambiaji wa masafa marefu Gerima Mustafa amemaliza kutembea umbali wa kilomita 664 katika eneo la…