Sajili shughuli

Msimu huu wa janga la COVID-19, wengi wetu wanasalia majumbani lakini kuna fursa ya kutumia majukwaa ya kidijitali kuchukua hatua za #KutunzaMazingira. Sajili mradi wako endelevu, bustani yako uliojiundia kupanda mimea ya chakula, mafunzo kuhusu bayoanuai yanayotolewa mtandaoni, shughuli ya uchangishaji wa fedha za kutunza mazingira katika eneo unalotoka, weka mtandaoni hotuba kuhusu maajabu ya mazingira au wazo lingine lolote ili upate fursa ya kujumuishwa kwenye global map.