Kaulimbiu na Nchi Mwenyeji wa mwaka wa 2024

Kampeni ya Siku ya Mazingira Duniani mwaka huu inaangazia uboreshaji wa ardhi, kuenea kwa majangwa na kustahimili ukame chini ya kaulimbiu "Ardhi yetu. Mustakabali wetu. Sisi ni #GenerationRestoration.” 

Ufalme wa Saudi Arabiaa utandaa maadhimisho ya kimataifa ya Siku ya Mazingira Duniani mwaka wa 2024.

Pitia tangazo