#BeatAirPollution
Jinsi dunia ilivyochukua hatua katika mwaka wa 2019

Kuwa sehemu ya harakati ya ulimwenguni pote na ushiriki tukio lako la Siku ya Mazingira Duniani

Sajili

Toa sauti yako, tusaidie kueneza ujumbe huu kuhusu uchafuzi wa hewa

Changamoto

Je, unahitaji miongozo au vifaa vinavyofaahalisi ili kulipamba tukio lako la Siku ya Mazingira Duniani?

Pakua miongozo
Ni nini kinachosababisha uchafuzi wa hewa?

Huenda uchafuzi wa hewa ukaonekana kuwa suala tata, lakini sote tunaweza kufanya sehemu yetu ili kuupunguza. Kuelewa aina mbalimbali za uchafuzi na jinsi zinavyoathiri afya yetu na mazingira, kutatusaidia kuchukua hatua ili kuboresha hewa inayotuzunguka. Bonyeza ikoni ili kupata habari zaidi kuhusu aina kuu za uchafuzi wa hewa.

#BeatAirPollution
Social Feed

BreatheLife huhamasisha miji na watu binafsi kulinda afya yetu na sayari yetu kutokana na madhara ya uchafuzi wa hewa.