mobile header
#BeatAirPollution
Chukua Hatua

Kuwa sehemu ya harakati ya ulimwenguni pote na ushiriki tukio lako la Siku ya Mazingira Duniani

Sajili

Toa sauti yako, tusaidie kueneza ujumbe huu kuhusu uchafuzi wa hewa

Changamoto

Je, unahitaji miongozo au vifaa vinavyofaahalisi ili kulipamba tukio lako la Siku ya Mazingira Duniani?

Pakua miongozo
Ni nini kinachosababisha uchafuzi wa hewa?

Huenda uchafuzi wa hewa ukaonekana kuwa suala tata, lakini sote tunaweza kufanya sehemu yetu ili kuupunguza. Kuelewa aina mbalimbali za uchafuzi na jinsi zinavyoathiri afya yetu na mazingira, kutatusaidia kuchukua hatua ili kuboresha hewa inayotuzunguka. Bonyeza ikoni ili kupata habari zaidi kuhusu aina kuu za uchafuzi wa hewa.

Habari za hivi punde
Habari kwa vyombo vya habari

Nairobi, tarehe 15 Machi 2019 – Hivi leo, kiongozi wa uwakilishi wa China, Zhao Yingmin, naibu wa waziri wa mazingira na Joyce Msuya, kaimu wa…

Habari kwa vyombo vya habari

Zaidi ya miaka 20 baada ya Beijing kuanza kutafuta njia za kuboresha…

Hadithi

Tunapozungumzia uchafuzi wa hewa, huenda taswira unayopata kwanza ni ya maghorofa yaliyofunikwa na mchanganyiko wa ukungu na moshi, moshi palipo…

Hadithi

Siku ya leo shirika la Mazingira ya Umoja wa Mataifa limetoa ripoti yake ya Kila mwaka ya mwaka wa 2018, inayobainisha kazi ya shirika hili kuhusu…

#BeatAirPollution
Social Feed

BreatheLife huhamasisha miji na watu binafsi kulinda afya yetu na sayari yetu kutokana na madhara ya uchafuzi wa hewa.