Kuwa sehemu ya harakati ya ulimwenguni pote na ushiriki tukio lako la Siku ya Mazingira Duniani
Toa sauti yako, tusaidie kueneza ujumbe huu kuhusu uchafuzi wa hewa
Je, unahitaji miongozo au vifaa vinavyofaahalisi ili kulipamba tukio lako la Siku ya Mazingira Duniani?
Huenda uchafuzi wa hewa ukaonekana kuwa suala tata, lakini sote tunaweza kufanya sehemu yetu ili kuupunguza. Kuelewa aina mbalimbali za uchafuzi na jinsi zinavyoathiri afya yetu na mazingira, kutatusaidia kuchukua hatua ili kuboresha hewa inayotuzunguka. Bonyeza ikoni ili kupata habari zaidi kuhusu aina kuu za uchafuzi wa hewa.