Kama vile muziki unavyowaleta watu pamoja katika miongo kadhaa, #GenerationRestoration ni juhudi za pamoja ambapo kila mtu wa kila rika anashirikiana kwa manufaa ya sayari.
Jifurahishe #SikuYaMazingiraDuniani kupitia baadiliyoratihi ya nyimbo zilizochaguliwa na kuratibiwa na wafanyakazi wa UNEP. Pia kuna mawasilisho kutoka kwa mashabiki na wafuasi wa UNEP kwenye mitandao ya kijamii.
Nyimbo katika lugha mbalimbali