Shiriki kwenye Shindano la Shule la  #DuniaMojaTu

Tazama video nne fupi ili kujifahamisha zaidi kuhusu
majanga ya mazingira na jinsi tunavyoweza kusaidia kukabiliana nayo.
Kisha pakua bango la #DuniaMojaTu.