Sajili hafla au shughuli yako ya Siku ya Mazingira Duniani
Events and actions around the world Total number of submissions 388

Disclaimer

Majina yaliyotumika na uwasilishaji wa nyenzo kwenye ramani hii haimaanishi utoaji wa maoni yoyote kwa upande wa Umoja wa Mataifa au Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa kuhusu hadhi ya kisheria ya nchi, eneo, jiji au eneo lolote au mamlaka yake, au kuhusu kuwekewa au kupimiwa mipaka yake.

Madhumuni pekee ya ramani hii ni kuonyesha hafla zinazofanyika kote ulimwenguni kuhusiana na Siku ya Mazingira Duniani. Kila juhudi zimefanywa ili kuhakikisha ramani hii haina dosari, lakini hakuna hakikisho kwamba ramani au vipengele vyake ni sahihi kwa kiwango fulani au kwa muda au vinafaa kwa matumizi mengine yoyote. Ramani hii imetolewa bila dhamana ya aina yoyote ile, iwe ya wazi au ya kudokezwa.

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa halidhinishi hafla au shughuli zozote zinazowasilishwa hapa.