Matangazo Rasmi

Kuanzia Juni 4-5, 2021, tutapeperusha moja kwa moja uzinduzi utakaofanyika mtandaoni wa Muongo wa Umoja wa Mataifa wa Kuboresha Mifumo ya Ekolojia utakaojumuisha jumbe za kutia motisha kutoka kwa viongozi, wanaharakati, watu mashuhuri, na muziki pamoja na programu ya nchi mwenyeji. Ukrasa utasasishwa na video na taarifa muhimu wakati kila hafla itakapokuwa inaendelea.

Jiunge na mawasiliano hayo mtandaoni katika mitandao yote ya kijamii ukitumia hashitagi #GenerationRestoration na #SikuYaMazingiraDuniani.

Masaa yote yanayotumiwa ni ya Afrika Mashariki, ambayo ni (GMT+3).