Maelfu ya watu na mashirika kote ulimwenguni wanahamasisha na kujiunga na #GenerationRestoration. Tufahamishe unachofanya kupanda miti, kuwa na miji isiyochafua mazingira, kukuza mimeapori kwenye bustani yako, kubadilisha lishe na kusafisha mito na bahari. Tufahamishe unachofanya ili kudumisha amani na mazingira.