Siku ya Mazingira Duniani mwaka wa 2023 ilikuwa ukumbusho kuwa juhudi za watu za kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ni muhimu. Hatua zinazochukuliwa na serikali na mashirika ya biashara kukabiliana na uchafuzi wa plastiki zinatokana na juhudi hizi.
Ni wakati wa kuimarisha juhudi hizi na kuhamia kwa uchumi unaotumia bidhaa tena na tena.
Ni wakati wa ku- #KomeshaUchafuziWaPlastiki.
Pitia hafla na shughuli za Siku ya Mazingira Duniani kote ulimwenguni
Habari za hivi karibuni na za sasa kuhusu Siku ya Mazingira Duniani Mwaka wa 2024
Mambo mazuri na ya ajabu kuhusu mifumo ya ekolojia ya nchi kavu