SAJILI  HAFLA YAKO

Usajili wa hafla za mwaka wa 2024 unaendelea kwa sasa. Tafadhali jaza na utume fomu iliyo hapa chini. Utatumiwa cheti cha ushiriki baada ya Siku ya Mazingira Duniani.