#DuniaMojaTu

Siku ya Mazingira Duniani huadhimishwa na mamilioni ya watu kote duniani. Tuna #DuniaMojaTu na tunahitaji kuhakikisha kuwa tunaishi kwa njia endelevu na mazingira. Tuambie jinsi unavyopigania kuleta mabadiliko chanya katika ngazi ya kimataifa.